HAPPINESS MASSAGE SERVICES
Annual Report-Dec-2016
Tukiwa na
uzoefu wa miaka mitano (5) sasa, Happiness Massage Services tumekuwa tukitoa
huduma bora za massage kwa lengo la kuboresha afya za watu.
Kufanya
hivyo ni wajibu wetu, na ni dhamira yetu kuongeza nguvu Zaidi, juhudi na
maarifa ili kuleta ufanisi katika utoaji wa huduma bora za Massage.
Kazi yetu
kubwa ni:-
·
Kuelimisha
Watu juu ya Umuhimu wa massage kiafya, Kupitia Mitandao mbalimbali
·
Kuondoa
dhana potofu waliyonayo watu Juu ya massage
·
Kutoa
huduma za massage zenye msaada mkubwa wa Kukuepusha na Matatizo mbalimbali kwa
kutumia.
·
Kutoa
mafunzo Maalumu ya Massage ya muda mfupi
Tumethubutu na
bado tunaendelea kutanua wigo ili kila Mtanzania anufaike kutokana na juhudi
zetu.
Happiness
Massage, Tunarejesha furaha yako.
Tunapatikana: Lamada Hotel, Ilala DSM.
+255 (0) 715
343 161 au +255 (0) 787 343 161
No comments:
Post a Comment