Monday, 5 December 2016

HAPPINESS MASSAGE SERVICES
              Annual Report-Dec-2016
Tukiwa na uzoefu wa miaka mitano (5) sasa, Happiness Massage Services tumekuwa tukitoa huduma bora za massage kwa lengo la kuboresha afya za watu.
Kufanya hivyo ni wajibu wetu, na ni dhamira yetu kuongeza nguvu Zaidi, juhudi na maarifa ili kuleta ufanisi katika utoaji wa huduma bora za Massage.
Kazi yetu kubwa ni:-
·        Kuelimisha Watu juu ya Umuhimu wa massage kiafya, Kupitia Mitandao mbalimbali
·        Kuondoa dhana potofu waliyonayo watu Juu ya massage
·        Kutoa huduma za massage zenye msaada mkubwa wa Kukuepusha na Matatizo mbalimbali kwa kutumia.
·        Kutoa mafunzo  Maalumu ya Massage ya muda mfupi

Tumethubutu na bado tunaendelea kutanua wigo ili kila Mtanzania anufaike kutokana na juhudi zetu.
Happiness Massage, Tunarejesha furaha yako.
    Tunapatikana: Lamada Hotel, Ilala DSM.

+255 (0) 715 343 161   au   +255 (0) 787 343 161

Tuesday, 29 November 2016

01 MASSAGE KWA WATOTO

HAPPINESS MASSAGE SERVICES
    TRAINING PROGRAMS­-2016
    INSTRUCTOR: Happy Mtuya
             COURSE: MASSAGE KWA WATOTO ( 0-5 yrs)


MADA ZITAKAZOFUNDISHWA

1.Massage ni nini?

  2. Umuhimu wa Massage kwa Mtoto
           i/ Umuhimu wa massage kiafya
          ii/ Umuhimu wa Massage kwa mtoto Kitabia
         iii/ Umuhimu wa Masage kwa Mtoto Kiakili
3. Mbinu za Kumfanyia  Massage kwa Mtoto
     4. Mambo ya kuepuka wakati unamfanyia mtoto Massage
     5. Jinsi Massage ya Mtoto inavyoweza kuleta furaha Kwa Wazazina familia Kiujumla.
   6. Madhara ya kutomfanyia Mtoto Massage
 Ada: TZS _______/=
                      NJIA ZA MAFUNZO
1. MAKALA
 2. AUDIO (SAUTI)
 3. VIDEOS
Jinsi ya Kujiunga na Kozi hii: